Mitihani kidato cha sita sasa juni

Mitihani kidato cha sita sasa juni

Mitihani ya kidato cha sita itaanza rasmi Juni 29, 2020 na kukamilika

Julai 16, 2020. Mitihani hii itafanyika sambamba na mitihani ya Ualimu.

Waziri Ndalichako
Ofisi za Wizara Mtumba -Dodoma
#TunaboreshaElimuYetu